USIKUBALI HOFU IKUIBE AMANI YAKO USIKUBALI HOFU IKUIBE AMANI YAKO USIKUBALI HOFU IKUIBE AMANI YAKO
By: DivinityTV
Date: 10/11/2026 10:41 AM
HELLO RAFIKI! JE WAJUA? USIKUBALI HOFU IKUIBE AMANI YAKO Wafilipi 4:6–7 Msijisumbue kwa neno lo lote; bali katika kila neno kwa kusali na kuomba, pamoja na kushukuru, haja zenu na zijulikane na Mungu. Najua kuna nyakati moyo unachoka, mawazo yanakuwa ...

