KUJIZOEZA KUMCHA MUNGU NI JEMBO JEMA.

Published by: DivinityTV
10/11/2026 10:21 AM
Views: 3

HELLO RAFIKI, JE WAJUA?

KUJIZOEZA KUMCHA MUNGU NI JEMBO JEMA.

1 Timotheo 4:7 — “Bali ujizoeze kupata utauwa.”

Usimtafute Mungu wakati wa shida pekee; mtafute hata wakati mambo yanapokwenda vizuri. Jenga tabia ya kuomba, kusoma Neno lake na kutenda mema. Kumbuka, ukaribu wako na Mungu hujengwa kwa uaminifu wa kila siku. Hata unapochoka, usikate tamaa; endelea kumtafuta Mungu kwa moyo wako wote.

Yoshua 1:8 — Tafakari Neno la Mungu kila siku.

Zaburi 119:11 —

Lihifadhi Neno lake moyoni.

1 Wakorintho 9:25 . Jifunze nidhamu na kujizuia. Ujumbe wa moyo: Usiruhusu shughuli za dunia zikufanye umsahau Mungu aliyekupa uhai. Mpe nafasi kila siku, maana kumcha Mungu si desturi tu, bali ni maisha ya upendo na uaminifu kwake.

 

Sambaza ujumbe huu kwa wengine!

 

Rev Christian (0713386095)

Shaloom! Yesu Yupo

News videos

News images